Waziri wa afya Aden Duale leo azindua Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya Umma (KNPHI)

  • | Citizen TV
    49 views

    Waziri wa Afya Aden Duale leo amezindua Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya Umma (KNPHI), hatua muhimu ya kuimarisha utayari na udhibiti wa magonjwa.