Sean "Diddy" Combs kupanda kizimbani

  • | BBC Swahili
    3,114 views
    Kesi ya mwanamuziki mashuhuri Sean "Diddy" Combs inaanza kusikilizwa huko Manhattan, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipokamatwa. - Kesi hii yenye utata inahusisha vipengele mbalimbali,. Lizzy Masinga anaelezea baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza juu ya kesi hii….. #bbcswahili #Pdiddy #Marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw