Ujenzi wa miradi mitatu ya maji waanzishwa Kinango

  • | Citizen TV
    120 views

    Katika juhudi za kukabiliana na janga la njaa Katika sehemu kame za kaunti ya Kwale,Serikali ya kaunti ya kwale ikishirikiana na ile ya kitaifa imeendeleza juhudi za kuchimba mabwawa pamoja na kuboresha miundo msingi ya maji