Tim Wanyonyi atetea pendekezo la kukita hazina ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge kwenye katiba

  • | KBC Video
    24 views

    Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi ametetea pendekezo la kukita hazina ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge kwenye katiba. Wanyonyi anatoa wito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye vikao vya ushirikishi wa umma vinavyoendelea kote nchini. Vikao hivyo vitakamilika juma lijalo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive