Mfanyikazi wa KBC Kennedy Epalat aandaliwa karamu baada ya kustaafu

  • | KBC Video
    64 views

    Shirika la utangazaji la Kenya leo lilimuaga mwanahabari mahiri Kennedy Epalat ambaye amestaafu. Epalat, aliyehudumu katika shirika hili tangu mwaka wa 1994, ametajwa kama mfanyakazi mwenye bidii aliyedumisha viwango vya juu vya kitaalam kila wakati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive