Marupurupu ya watumishi wa uma wanaofanya kazi kwa mazingira magumu nchini Kenya

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imetakiwa kufanya mashauriano zaidi kabla ya kuamua kufutilia mbali marupurupu ya watumishi wa uma wanaofanya kazi kwa mazingira magumu nchini Kenya, hasa walimu. Katibu Mkuu wa elimu ya msingi Julius Bitok ambaye alizungumza huko Baringo, alisema serikali itapitia pendekezo la SRC kupitia mazungumzo zaidi ya washikadau

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News