Dunia Wiki Hii: Brice Clotaire Oligui Nguema aapishwa kuwa rais wa Gabon

  • | KBC Video
    84 views

    Katika makala ya juma hili, Israel yatekeleza mashambulizi katika jiji kuu la Syria na kwenye majimbo ya kati na magharibi na pia Gaza.

    Umoja wa mataifa waripoti kuwa zaidi ya wakimbizi elfu-250 kutoka Afghanistan walirejea nchini mwao kutoka Pakistan na Iran mwezi Aprili.

    Vikosi vya kundi la waasi nchini Sudan vyazidisha mashambulizi ya droni kwenye maeneo yanayodhibitiwa na jeshi.

    Brice Clotaire Oligui Nguema aapishwa kuwa rais wa Gabon

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News