Maafa barabarani Nyeri

  • | Citizen TV
    5,309 views

    Mtu mmoja amethibitishwa kufariki na Huku wengine wawili wakiendelea kuuguza majera mabaya Katika hospitali ya rufaa ya nyeri, kufuatia Ajali ya Barabarani iliyohusisha basi eneo la Jua Kali, huko Tetu Kaunti ya Nyeri.