SUPKEM YAKEMEA UPINZANI KUHUSU UTEUZI WA MAKAMISHNA WA IEBC

  • | K24 Video
    16 views

    Baraza Kuu la Waislamu Nchini (SUPKEM) limekashifu upinzani kwa kupinga uteuzi wa makamishna wa IEBC na kumtaka Rais William Ruto aendelee na juhudi za kuunda upya tume hiyo. SUPKEM pia limeitaka Bunge la Kitaifa kuwachunguza kwa kina makamishna hao sita ili kurejesha imani ya Wakenya kwa IEBC.