Wanabiashara waihimiza serikali kukadiria upya ushuru unaotozwa bidhaa na huduma

  • | KBC Video
    12 views

    Wadau katika sekta ya utengenezaji bidhaa nchini Kenya wanahimiza serikali kukadiria upya ushuru unaotozwa bidhaa na huduma, wakisema gharama za juu za uzalishaji wasizoweza kumudu zinatishia ushindani wa kibiashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive