Wakaazi wa Samburu wapendekeza kubuniwa kwa sera za kukabili dhulma za kijinsia

  • | Citizen TV
    64 views

    Huku Jopo kazi linalokusanya maoni kuhusu jinsi ya kukomesha mauaji ya kiholela ya wanawake nchini na dhulma za kijinsia,likiendeleza vikao vyake nchini , wakazi wa Kaunti ya Samburu wanapendekeza kubuniwa Kwa sera za kukabili dhulma za kijinsia. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.