Nancy Barasa asema kuna haja ya kukomesha mauaji ya wanawake

  • | Citizen TV
    80 views

    Huku visa vya mauaji ya kikatili ya wanawake vikizidi kuongezeka nchini, mwenyekiti wa jopokazi la kiufundi la kutathmi na kukagua kesi za unyanyasaji wa kijinsia, Daktari Nancy Barasa amesema kuna haja ya hatua za dharura kuchukuliwa ili kuutokomeza uovu huo.