Waathiriwa wa wanyamapori walipwa fidia kajiado Mashariki

  • | Citizen TV
    68 views

    Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu, hatimaye waathiriwa wa mashambulizi ya wanyamapori kaunti ya Kajiado wameanza kulipwa fidia.Wakazi ambao jamaa zao waliuwa na Ndovu au Simba na pia waliojeruiwa kwanzia mwaka wa 2016 hadi mwaka wa 2019 walipata fidia ya shilingi milllioni 64 M.