NTSA yaandaa msafara wa amani katikati ya mji wa Kisii

  • | Citizen TV
    113 views

    Mamlaka ya usalama barabarani NTSA kwa ushirikiano na mashirika mengine, pamoja na watumizi wa barabara wameandaa msafara wa amani katikati ya mji wa Kisii kuhamasisha umma kuhusu jinsi ya kupunguza ajali barabarani.