Viongozi wa Kuria wataka usalama kuimarishwa katika maeneo ya Gwitembe-Angata Barakoi

  • | Citizen TV
    450 views

    Viongozi wa Kuria wamezungumzia suala la ukosefu wa usalama katika Maeneo ya Gwitembe-Angata Barakoi siku chache baada ya Rais Ruto kukamilisha ziara yake ya maendeleo kaunti ya Migori