Wanaharakati waanzisha kampeni ya kutunza chemichemi za maji Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    144 views

    Wanaharakati wa mazingira katika Kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha kampeni ya kuhifadhi chemchemi za maji kupitia mashindano ya magari. Hatua hii inalenga kuokoa vyanzo viwili vikuu vya maji, Kiptogot na Cheranga’any.