Viongozi wanawake watishia kuandamana Malindi

  • | Citizen TV
    317 views

    Wafuasi wanawake wa chama cha UDA mjini Malindi kaunti ya Kilifi wametishia kufanya maandamano kulaani tukio la kupigwa kwa kiongozi wa kike ndani ya bunge la kaunti ya Kilifi.