Watu sita wakamatwa kufuatia operesheni inayoendelea ya kukabiliana na mihadarati kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    816 views

    Watu sita wamekamatwa na maafisa wa polisi kwa ushirikiano na mamlaka ya kupambana na pombe haramu na mihadarati (NACADA) kufuatia operesheni inayoendelea ya kukabiliana na mihadarati kaunti ya Kisii na Homa Bay.