Naibu Rais Kithure Kindiki amtaka Rigathi Gachagua kutotumia chama chake cha DCP kuchochea

  • | Citizen TV
    5,685 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amemuonya Rigathi Gachagua asitumie chama chake kipya kueneza uchochezi na Kuwagawanya wakenya kimaeneo na kuhujumu juhudi zinazoendelea za kuleta utangamano na umoja wa kitaifa. Kindiki amesema kuwa Rais William Ruto yuko tayari kumenyana na Gachagua na wenzake kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027.