José Mujica: Kutoka uasi hadi rais masikini zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    1,111 views
    Jose “Pepe” Mujica, muasi wa zamani ambaye alikua rais wa Uruguay kuanzia 2010 hadi 2015, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Mujica aligundulika na saratani ya koo mwaka 2024. Anatajwa kama Rais maskini zaidi duniani. Je ni kwanini aliitwa Raisi maskini? @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #uruguay #josemujica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw