Wawakilishi wadi katika kaunti ya Kilifi wamtaka rais Ruto kutia sahihi sheria ya mamlaka

  • | Citizen TV
    313 views

    Wawakilishi wadi katika kaunti ya Kilifi Sasa wanamtaka rais William Ruto kutia sahihi mswada uliopitishwa na bunge la Seneti unaowapa uhuru wa kutekeleza majukumu yao bila kuingiliwa na serikali kuu.