Klabu ya Rotary District yasherehekea miaka 100 ya huduma

  • | Citizen TV
    128 views

    Klabu ya Rotary District imetenga zaidi ya shilingi bilioni 1.5 ili kusaidia watu wasiojiweza nchini Kenya, Sudan Kusini, Eritrea na Ethiopia.