KALONZO: EACC INATUMIWA KISIASA KUWALENGA VIONGOZI WA UPINZANI

  • | K24 Video
    77 views

    Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amedai kuwa tume ya EACC inatumiwa kisiasa kuwaandama wanaotetea haki zao, akimtaja Gavana George Natembeya kama mlengwa mpya. Aidha, amelaani kuzuiwa kwa Martha Karua kuingia Tanzania.