Kongamano la usalama

  • | Citizen TV
    65 views

    Wakuu wa usalama kutoka mataifa mbalimbali ya bara la Afrika wamekongamana jijini Kigali, Rwanda, kujadili mbinu za kukabiliana na athari za ugaidi na uhalifu wa mitandaoni ambazo zinazidi kutishia usalama wa bara zima.