Tundu Lissu afikishwa katika mahakama ya Kisutu

  • | Citizen TV
    729 views

    Licha ya wanaharakati na aliyekuwa Jaji mkuu Willy Mutunga kuzuiliwa nchini Tanzania, aliyekuwa jaji mkuu David Maraga amefika katika mahakama ya Kisutu nchini Tanzania kuonyesha umoja wake na kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.