Gachagua ajitetea kuhusiana na matamshi yake

  • | KBC Video
    69 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amewapuuza wanaomuita mchochezi, akisema kauli yake kuhusu uchaguzi wa mwaka 2027 ilinukuliwa vibaya. Kwenye kikao na wanahabari leo katika makazi yake mtaani Karen, Gachagua alisema alimakinika kwenye kauli zake na wala hazikunuiwa kufanya uchochezi. Haya yanajiri huku hatibu wa serikali Isaac Mwaura pamoja na viongozi wengine wakimshutumu Gachagua kuhusiana na matamshi yake, wakisema hayawezi kukubalika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News