Zaidi ya nyumba 2000 za gharama nafuu zaelekea kukamilika

  • | KBC Video
    15 views

    waziri wa ardhi na nyumba Alice Wahome anasema zaidi ya nyumba 2000 za mpango wa Nyumba za Gharama Nafuu zinakaribia kukamilika na zitakabidhiwa wenyewe katika muda wa majuma kadhaa yajayo. Akiongea katika shule ya msingi ya Thindigua wakati wa uzinduzi wa madarasa manne yaliyofadhiliwa na wizara hiyo, Wahome alisema tayari nyumba 1000 katika mtaa wa Mukuru Kwa Reuben jijini Nairobi zimekamilika na zitakabidhiwa wenyewe siku ya Jumanne.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News