Wanaharakati wadai kutishiwa maisha

  • | Citizen TV
    242 views

    Wanaharakati kutoka sekta mbalimbali kaunti ya Kisii sasa wamelalamikia kudhulumiwa na kuandamwa na hata kutishiwa maisha wanapoendelea kutekeleza wajibu wao katika jamii.