Wanachama wa UDA Kilifi wamepuuzilia mbali DCP

  • | Citizen TV
    975 views

    Baadhi ya wanachama wa UDA kaunti ya Kilifi wamepuzilia mbali chama kipya cha aliyekuw anaibu rais rigathi gachagua wakisema kuwa chama hicho hicho ni cha kikabila.Wakizungumza mjini Kilifi, wanachama hao wamesema kuwa DCP haina msingi thabiti wa kuwa chama cha kitaifa kwa kuwa kinaongozwa na viongozi kutoka sehemu moja ya nchi. Aidha wafuasi hao wamemsuta Gachagua kwa kile wanachodai ni kueneza chuki