Wasichana 400 wapokea mafunzo ya kukabili dhuluma za kijinsia Kwale

  • | TV 47
    13 views

    Shirika la Peace Tree Network latoa mafunzo kwa wasichana Kwale.

    Wasichana 400 wapokea mafunzo ya kukabili dhuluma za kijinsia.

    Mafunzo hayo yanajumuisha masuala ya sheria na uongozi wa wanawake.

    Wanawake watakiwa kupigania nafasi za uongozi katika uchaguzi ujao.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __