Serikali yapanga kuwahamisha wakazi zaidi ya 10,000 Kibra

  • | Citizen TV
    1,460 views

    Wakazi zaidi ya elfu kumi wa Soweto Zone C na D katika mtaa wa mabanda wa Kibera, wanatakiwa kuhama ili kupisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Maelfu wamejitokeza kusajiliwa na kupewa kadi ya makao bora, ili kupewa nyumba hizo pindi zitakapokamilika. Lakini tayari kuna malalamiko ya ukosefu wa uwazi kwenye usajili huo.