Taharuki yatanda katika bonde la Kerio, Elgeyo Marakwet baada ya padre wa kanisa Katoliki kuuawa

  • | Citizen TV
    3,634 views

    Rais Willim Ruto amesema serikali itahakikisha imewasaka na kuwakamata waliohusika na mauaji ya padre wa parokoa ta Tot, Father Allois Cheruiyot. Father cheruiyot alipigwa risasi na washukiwa wa ujambazi ambao waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema walimwandama kwa sababu ya azma yake ya kutafuta amani na kukomesha wizi wa mifugo. Kutokana na mauaji hayo, vyama vya walimu KNUT na KUPPET vimewaondoa walimu wao katika maeneo hayo kwa sababu ya utovu wa usalama