Bunge laidhinisha kabila kushtakiwa, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,692 views
    Bunge la Seneti la DRC limeondoa kinga ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, na kumtengenezea njia ya kufunguliwa mashtaka. Kabila ambaye pia ni seneta wa maisha, anatuhumiwa kwa uhaini, uhalifu wa kivita, na kuunga mkono kundi la waasi la M23 ambalo liliteka miji mikubwa Mashariki mwa Congo mapema mwaka huu.