Rais akutana na wasimamizi wa hospitali za kidini

  • | KBC Video
    55 views

    Rais William Ruto amesisitiza kujitolea kwa serikali kuhakikisha kuwa Wakenya wote wanapata huduma bora za afya. Kiongozi wa taifa ambaye alikutana na wawakilishi wa hospitali zinazosimamiwa na mashirika ya kidini katika Ikulu ya Nairobi, alisema kwamba azimio lake la kuhakikisha kuwa huduma ya Afya zinapatikana kwa wote bado ni thabiti. Wakati wa mkutano huo, viongozi wa hospitali hizo walisema kuwa kumekuwa na ufanisi mkubwa katika usimamizi wa halmashauri ya afya ya jamii-SHA, huku Wakenya wengi wakinufaika na mpango huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive