Duale atishia kufichua walaghai wa NHIF

  • | KBC Video
    12 views

    Waziri wa afya Aden Duale ametishia kuvifichua vituo vya matibabu vilivyotoa huduma za afya chini ya hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu-NHIF vinavyohusishwa na udanganyifu. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mapatano baina ya wizara ya afya na hospitali ya chuo kikuu cha Aga Khan, katika juhudi za kuboresha huduma za matibabu maalum kwa wagonjwa wa figo, Duale alionya kwamba wizara hiyo haitalegea kamba kwenye azma yake ya kukabiliana na wahudumu wa afya ambao hawajahitimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive