Serikali yachukua hatua kutimiza katiba ya 2010

  • | KBC Video
    28 views

    Katibu katika idara ya huduma za magereza Dkt. Salome Beacco amekariri kujitolea kwa idara hiyo kuafiki matakwa ya katiba ya Kenya ya mwaka 2010 na viwango vya kimataifa vya haki za kibinadamu, akibainisha kuwa mipango inaendelea ya kuweka huduma zake mtandaoni kupitia kuanzishwa kwa mfumo mahsusi wa usimamizi wa habari kuhusu wafungwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive