Wakuu wa majeshi wa bara Afrika wakongamana Nairobi

  • | KBC Video
    68 views

    Wakuu wa majeshi ya ulinzi wa kikanda pamoja na mataifa washirika wanashauriwa kuwa na mkakati kabambe wa pamoja wa kukabiliana na changamoto za kiusalama kwenye ukanda huu. Miito hiyo ilitolewa wakati wa kongamano la kila mwaka la wakuu wa majeshi ya ulinzi lililoandaliwa na jeshi la ulinzi la Kenya kwa ushirikiano na Marekani. Rais William Ruto aliyeongoza kongamano hilo alisema usalama wa kikanda ni jukumu la pamoja hivyo akitoa wito kuwe na mfumo wa pamoja wa kikanda wa amani na usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive