- 165 viewsLawrence Kiwanuka Nsereko aliyeko uhamishoni asimulia madhila yaliyomkuta wakati akiwa mwandishi nchini Uganda kutokana na kushikamana na maadili ya kazi yake. Aeleza vitisho na hatimaye nguvu ya dola ilivyomshughulikia wakati alipokataa kukubaliana na utawala uliokuwa madarakani wa Rais Yoweri Museveni. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Nsereko mwandishi wa Uganda aliyeko uhamishoni alivyoteswa kwa kusimamia maadili
- 1 May 2024 - The Kenya National Highways Authority (KENHA) has announced partial closure of the Thika Superhighway at the Kahawa Sukari drift.
- 1 May 2024 - The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has announced the immediate closure of the Athi River - Namanga Road due to massive flooding at Kimalat area following heavy downpour in the area.
- 1 May 2024 - The bodies of seven people who have drowned in various counties during the ongoing rains were found on Tuesday, while a search for two more is still ongoing.
- 1 May 2024 - The Council of Governors (COG) Chairperson, Anne Waiguru has urged Constitutional and Independent Offices to prioritize the protection of devolution in their constitutional duties.
- 1 May 2024 - As the nation celebrates the struggle for workers and the gains made in achieving labour rights, workers in the healthcare sector are still finding it hard to wear a grin.
- 1 May 2024 - At least three roads within Nairobi Metropolis have been partially closed and traffic redirected after they were flooded following heavy rains on Tuesday night.
- 1 May 2024 - A middle-aged woman has died after a 4-storey building under construction collapsed in Karia area, Kirinyaga County.
- 1 May 2024 - The directive was issued following heavy rains that rendered the section impassable.
- 1 May 2024 - Ndung'u said the authority will continue to monitor the water levels and advise when it subsides.
- 1 May 2024 - Six people were rescued on Wednesday morning after floods rocked homesteads in Kitengela, Kajado County following a heavy downpour.