Mzozo watokota baina ya wakazi wa eneo la Parklands na kampuni za ujenzi

  • | KBC Video
    39 views

    Mzozo unatokota baina ya wakazi wa eneo la Parklands jijini Nairobi na kampuni za ujenzi kuhusiana na kile wanachokitaja kuwa uharibifu wa muundo msingi na kuvurugwa kwa shughuli za uchukuzi katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive