Viongozi wa kanisa wataka mazungumzo ya Kitaifa

  • | Citizen TV
    177 views

    Viongozi wa kisiasa nchini wametakiwa kuacha ubinafsi na kuweka wakenya mbele ili kupunguza joto la kisiasa nchini. Padri wa kanisa katoliki eneo la Tulimani huko Mbooni kaunti ya Makueni amesema wakati umefika wa mazungumzo kufanyika kutafuta suluhu ya matatizo yanayokumba taifa la Kenya