5 Nov 2025 1:15 pm | Citizen TV 130 views Duration: 2:02 Kwa siku ya saba mfululizo, wakazi wa eneo bunge la Tinderet kaunti ya Nandi, wamekuwa wakiandamana wakitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha ubunge cha eneo hilo aliyetoweka .