Kaunti ya Mombasa yathibitisha mlipuko wa Chikungunya

  • | Citizen TV
    1,612 views

    Serikali ya kaunti ya Mombasa imedhibitisha mkurupuko wa ugonjwa wa chikungunya katika maeneo bunge sita ya kaunti hiyo. Hii ni baada ya watu 15 kulalamikia ugonjwa usioeleweka katika mtaa wa bamburi siku chache zilizopita. Maafisa wa kaunti wanasema wameanzisha mikakati ya kudhiti ugonjwa huo