Polisi Dar es Salaam wakanusha kuteswa kwa wanaharakati Boniface na Agather

  • | Citizen TV
    3,498 views

    Kamanda wa Polisi Jijini Dar es Salaam Jummane Muliro amekanusha madai ya wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kwamba waliteswa mikononi mwa maafisa wa polisi Tanzania baada ya kukamatwa na maafisa wa idara ya uhamiaji nchini humo. Jumanne anadai kwamba wanaharakati hao wangejiwasilisha katika idara ya polisi ili uchunguzi ufanyike akionekana kupinga kwamba wawili hao walidhulumiwa