Safaricom imezindua rasmi tamasha ya M-PESA sokoni

  • | Citizen TV
    914 views

    Tamasha ya MPESA Sokoni imezua msisimko mkubwa kisiwani Mombasa kwa siku ya pili na kuwavutia wafanyabiashara na wateja wa Safaricom katika masoko mbalimbali ya Pwani. Msafara wa leo ulizuru Mshomoroni, Kisimani na hatimaye Mtwapa.Tamasha hiyo inafanikishwa kwa ushirikiano wa Safaricom na kampuni ya Royal Media Services.