| Kilimo Biashara | Ufugaji wa Kuku Bomet

  • | Citizen TV
    1,054 views

    Kwa miongo kadhaa, ufugaji wa kuku vijijini umekuwa wa kawaida, wa kiwango cha chini, na kwa matumizi ya nyumbani pekee. Lakini sasa, ubunifu katika uzalishaji wa kuku unawawezesha wakulima kujikuza na kuanza kufuga kuku kwa manufaa ya kibiashara. Wakulima hao wanatumia mbinu za kisasa kufuga kuku wanaokua kwa kasi na ambao wanastahimili magonjwa.