Makamishna wa IEBC waidhinishwa na bunge

  • | KBC Video
    18 views

    Bunge la kitaifa limeidhinisha uteuzi wa makamishna 7 wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC). Uteuzi wa sita hao hata hivyo utasubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa kesi inayopinga jinsi mchakato huo ulivyotekelezwa pamoja na ustahiki wa baadhi ya makamishna.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive