Mbunge wa Kitui East Nimrod Mbai akashifiwa kwa matamshi yake

  • | Citizen TV
    3,732 views

    Mbunge wa Kitui East Nimrod Mbai amekosolewa kwa matamshi yake na kutuhumiwa kuhusika na kudhalilishwa kwa mwakilishi wadi jacinta mwoni, kwenye hafla moja ya mazishi. Chama cha Wiper kimetaja kuvamiwa na kujeruhiwa kwa mwakilishi wadi huyo wa kike kama ukatili wa kijinsia uliotekelezwa na vijana waliokuwa wameandamana na mbunge huyo.