Bunge La Kitaifa laidhinisha Hatua ya Uteuzi na kuapishwa kwa mwenyekiti na makamishna wa IEBC

  • | NTV Video
    178 views

    Bunge la kitaifa limejadili na kupitisha mapendekezo ya Kamati ya Bunge la Taifa kuhusu Haki na Masuala ya Sheria (JLAC), hatua inayofungua njia kwa uteuzi rasmi na kuapishwa kwa mwenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini - IEBC.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya