Biashara. I Wakulima Nyandarua wahimizwa kupanda viazi tamu

  • | KBC Video
    5 views

    Wakulima katika kaunti ya Nyandarua wamehimizwa kupanda aina ya viazi tamu inayoweza kustahimili mabadiliko ya tabianchi badala ya viazi vya kawaida ambavyo huathiriwa na hali isiyothibitika ya hewa na ukungu. Taarifa zaidi ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive