Vuguvugu la Okoa Uchumi lakosoa mswada wa fedha-2025

  • | KBC Video
    17 views

    Mashirika ya kijamii na yale ya kutetea haki za kibinadamu yanayohudumu chini ya vuguvugu la OKOA Uchumi, yameibua wasiwasi kuhusiana na ongezeko la deni la umma. Kadhalika, yalikosoa pendekezo la mswada wa fedha wa mwaka 2025, linalodhamiria kuruhusu halmashauri ya ukusanyaji ushuru hapa nchini-KRA, kupata maelezo ya miamala ya kibinafsi kwenye rununu na benki kinyume cha sheria za habari za kibinafsi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive